NYUMBA YA CHUMBA KIMOJA INAUZWA CHAP SQM : ~ 550 SQM LOC : MADALE MASKAUTI. PRICE : 8.5 MIL UMILIKI : SALES AGREEMENT
NYUMBA YA CHUMBA KIMOJA INAUZWA CHAP SQM : ~ 550 SQM LOC : MADALE MASKAUTI. PRICE : 8.5 MIL UMILIKI : SALES AGREEMENT _____________________________ CALL Whatsapp &sms +0693298296 Email adilidodoma@gmail.com Insta @adiliauctionmart_official Fb https://www.facebook.com/?ref=tn_tnmn ______________________________________________________ HII SIO YA KUIKOSA,,,,,………!!!!!! PIGA SIMU UKAGUE…. . . UMILIKI SERIKALI ZA MTAA ENEO ZURI LINAFIKIKA NA HUDUMA ZOTE ZIPO KUPELEKWA SITE ELF 20 ________________________________ @Adili Auction Mart


MASHARTI YA MNADA
Mnunuzi anatakiwa kulipa asilimia 25% ya bei itakayofikiwa siku ya mnada na salio la asilimia 75% anatakiwa kulipa ndani ya siku kumi na nne (14)kuanzia siku ya mnada.
Mnunuzi akishindwa kulipa salio la asilimia 75% ndani ya siku kumi na nne (14) atakuwa amepoteza haki zake zote pamoja na asilimia 25% na mnada utarudiwa tena.
Nyumba inaweza kukaguliwa kuanzia tarehe ya tangazo hili mpaka siku ya mnada.
Mnunuzi anatakiwa kusimamia mwenyewe zoezi la kubadili hati ya kumiliki/mali aliyonunua na kulipa kodi zote stahiki.
Nyumba/mali itauzwa mahali na kama ilivyo
Wote mnakaribishwa
Kwa mawasiliano:
SIMU: 0767 873988// 0716 651103//0715 373715