AUCTION NOTIFICATION MBALIZI-MBEYA
PUBLIC AUCTION
We have been instructed by our Client ACCESS BANK TANZANIA LIMITED – MBEYA BRANCH to sale by Public Auction the legal mortgages of defaulters as follows: – from 11th OCTOBER,2019 onwards 10.00 am onwards
S/N | OWNERSHIP DETAILS | SECURITY | LOCATION |
1 | LEONARD GECHERE MACHERA | RESIDENTIAL PROPERTY | MBALIZI-MBEYA |
CONDITION OF THE PROPERTY TO BE AUCTIONED
- The successful bidder should pay the equivalent of 25% of the purchases price immediately after the fall of the hammer. The remaining 75% of the value should be paid in full not later than 14 days after the auction date. Failure by the in paying the balance the property will be re-auctioned and the advance payment should be forfeited.
- The property shall be inspected before the auction date, all expenses related to the inspection especially transport shall be borne by the buyer.
- The transfer of ownership and related charges and taxes shall be borne by the buyer.
- The assets will be sold on basis of “as is” where is”
FOR MORE INFORMATION AND DETAILS PLEASE CONTACT:
MOB: 0767 873988//0716 651103// 0715 373715
TANGAZO LA MNADA WA HADHARA
Kwa idhini tuliyopewa na mteja wetu Benki ya ACCESS tawi la MBEYA tutauza kwa mnada wa hadhara mali/dhamana za wadaiwa wa Benki, kama ilivyoorodheshwa hapo chini,mnada utafanyika 11/10/2019 na kuendelea kuanzia 4.00 asubuhi nakuendelea
N/A. | MMILIKI | DHAMANA | MAHALI ILIPO |
1 | LEONARD GECHERE MACHERA | NYUMBA | MBALIZI-MBEYA |
MASHARTI YA MNADA
Mnunuzi anatakiwa kulipa asilimia 25% ya bei itakayofikiwa siku ya mnada na salio la asilimia 75% anatakiwa kulipa ndani ya siku kumi na nne (14)kuanzia siku ya mnada.
Mnunuzi akishindwa kulipa salio la asilimia 75% ndani ya siku kumi na nne (14) atakuwa amepoteza haki zake zote pamoja na asilimia 25% na mnada utarudiwa tena.
Nyumba inaweza kukaguliwa kuanzia tarehe ya tangazo hili mpaka siku ya mnada.
Mnunuzi anatakiwa kusimamia mwenyewe zoezi la kubadili hati ya kumiliki/mali aliyonunua na kulipa kodi zote stahiki.
Nyumba/mali itauzwa mahali na kama ilivyo
Wote mnakaribishwa
Kwa mawasiliano:
SIMU: 0767 873988// 0716 651103//0715 373715