TAARIFA YA MNADA KIBAONI SINGIDA(AUCTION NOTIFICATION)

PUBLIC AUCTION

We have been instructed by our Client NMB BANK PLC – SINGIDA BRANCH to sale by Public Auction the legal mortgages of defaulters  as follows: – from 27th SEPTEMBER,2019 onwards  10.00 am onwards

S/N OWNERSHIP DETAILS SECURITY LOCATION
1 FREDY MWALA NGOMASE   RESIDENTIAL PROPERTY KIBAONI, SINGIDA

CONDITION OF THE PROPERTY TO BE AUCTIONED

  • The successful bidder should pay the equivalent of 25% of the purchases price immediately after the fall of the hammer. The remaining 75% of the value should be paid in full not later than 14 days after the auction date. Failure by the in paying the balance the property will be re-auctioned and the advance payment should be forfeited.
  • The property shall be inspected before the auction date, all expenses related to the inspection especially transport shall be borne by the buyer.
  • The transfer of ownership and related charges and taxes shall be borne by the buyer.
  • The assets will be sold on basis of “as is” where is”

FOR MORE INFORMATION AND DETAILS PLEASE CONTACT:

MOB: 0767 873988//0786 002424//0787 553490

TANGAZO LA MNADA WA HADHARA

Kwa idhini tuliyopewa na mteja wetu Benki ya NMB tawi la SINGIDA tutauza kwa mnada wa hadhara mali/dhamana za wadaiwa  wa Benki, kama ilivyoorodheshwa hapo chini,mnada utafanyika 27/9/2019 na kuendelea kuanzia 4.00 asubuhi nakuendelea

N/A MMILIKI DHAMANA MAHALI ILIPO
1 FREDY MWALA NGOMASE   NYUMBA KIBAONI, SINGIDA

MASHARTI YA MNADA             

Mnunuzi anatakiwa kulipa asilimia 25% ya bei itakayofikiwa siku ya mnada na salio la asilimia 75% anatakiwa kulipa ndani ya siku kumi na nne (14)kuanzia  siku ya mnada.

Mnunuzi akishindwa kulipa salio la asilimia 75% ndani ya siku kumi na nne (14) atakuwa amepoteza haki zake zote pamoja na asilimia 25% na mnada utarudiwa tena.

Nyumba inaweza kukaguliwa kuanzia tarehe ya tangazo hili mpaka siku ya mnada.

Mnunuzi anatakiwa kusimamia mwenyewe zoezi la kubadili hati ya kumiliki/mali aliyonunua na kulipa kodi zote stahiki.

Nyumba/mali itauzwa mahali na kama ilivyo

Wote mnakaribishwa

Kwa mawasiliano:

SIMU: 0767 873988//0786 002424//0787 553490