TANGAZO LA MNADA WA HADHARA – PROPERTY-SINZA
/in Real Estate/by adminadiliKwa idhini tuliyopewa na NMB BANK PLC tutauza kwa mnada wa hadhara mali/dhamana za wadaiwa kuanzia tarehe tajwa na kuendelea kama ilivyoelezewa.
Jina la Mdaiwa: Anna Investment Company
Dhamana/Mali: First Ranking Legal Mortgage over a property located on Plot No. 1036 under C.T. No. 125005 Block ‘E’ Sinza DSM I.N.O Mr. Anna Jeremiah Kaaya
Date/Time: 27/09/2024 Saa 4:00 Asubuhi na kuendelea
MASHARTI YA MNADA
1. Mnunuzi anatakiwa kulipia asilimia 25% ya bei itakayofikiwa siku ya mnada na salio la asilimia 75% kulipa ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia siku ya mnada.
2. Mnunuzi akishindwa kulipa salio la asilimia 75% ndani ya siku kumi na nne (14) atakua amepoteza haki zote Pamoja na asilimia 25% na mnada utarudiwa tena.
3. Nyumba zinaweza kukaguliwa kuanzia tarehe ya tangazo hili mpaka siku ya mnada.
4. Mnunuzi atatakiwa kubadili hati ya kumiliki mali aliyonunua na kulipa kodi zote stahiki.
5. Nyumba zitauzwa mahali na kama zilivyo.
Kwa mawasiliano zaidi: 0716 515 445 / 0714 497 736
info@adiliauction.co.tz
DALALI HANA BEI, BEI UNAYO WEWE MTEJA.
TANGAZO LA MNADA WA HADHARA – COMMERCIAL PROPERTY
/in Real Estate/by adminadiliKwa idhini tuliyopewa na NMB BANK PLC tutauza kwa mnada wa hadhara mali/dhamana za wadaiwa kuanzia tarehe tajwa na kuendelea kama ilivyoelezewa.
Jina la Mdaiwa: Barnabas Ignas Kimambo
Dhamana/Mali: Legal Mortgage over commercial property located land parcel No. KND/NZS/MDZ7/29 madizini Street, Manzese area , Kinondoni-DSM , with R. L No. KNDO24307 with tenor of 5 years from 24th April 2015 INO Barnabas Ignas Kimambo
Date/Time: 27/09/2024 Saa 4:00 Asubuhi na kuendelea
MASHARTI YA MNADA
1. Mnunuzi anatakiwa kulipia asilimia 25% ya bei itakayofikiwa siku ya mnada na salio la asilimia 75% kulipa ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia siku ya mnada.
2. Mnunuzi akishindwa kulipa salio la asilimia 75% ndani ya siku kumi na nne (14) atakua amepoteza haki zote Pamoja na asilimia 25% na mnada utarudiwa tena.
3. Nyumba zinaweza kukaguliwa kuanzia tarehe ya tangazo hili mpaka siku ya mnada.
4. Mnunuzi atatakiwa kubadili hati ya kumiliki mali aliyonunua na kulipa kodi zote stahiki.
5. Nyumba zitauzwa mahali na kama zilivyo.
Kwa mawasiliano zaidi: 0716 515 445 / 0714 497 736
info@adiliauction.co.tz
DALALI HANA BEI, BEI UNAYO WEWE MTEJA.
TANGAZO LA MNADA – NYUMBA-KILOMBERO
/in Real Estate/by adminadiliKwa idhini tuliyopewa na NMB BANK PLC tutauza kwa mnada wa hadhara mali/dhamana za wadaiwa kuanzia tarehe tajwa na kuendelea kama ilivyoelezewa.
Jina la Mdaiwa: Yusti Nicholous Mirenyi
Dhamana/Mali: Nyumba iliyopo Kitongoji cha Milola, Wilaya ya Kilombero, Mkoa Wa Morogoro
Date/Time: 17/09/2024 Saa 6:00 Mchana na kuendelea
MASHARTI YA MNADA
1. Mnunuzi anatakiwa kulipia asilimia 25% ya bei itakayofikiwa siku ya mnada na salio la asilimia 75% kulipa ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia siku ya mnada.
2. Mnunuzi akishindwa kulipa salio la asilimia 75% ndani ya siku kumi na nne (14) atakua amepoteza haki zote Pamoja na asilimia 25% na mnada utarudiwa tena.
3. Nyumba zinaweza kukaguliwa kuanzia tarehe ya tangazo hili mpaka siku ya mnada.
4. Mnunuzi atatakiwa kubadili hati ya kumiliki mali aliyonunua na kulipa kodi zote stahiki.
5. Nyumba zitauzwa mahali na kama zilivyo.
Kwa mawasiliano zaidi: 0716 515 445 / 0714 497 736
info@adiliauction.co.tz
DALALI HANA BEI, BEI UNAYO WEWE MTEJA.
TANGAZO LA MNADA – NYUMBA-BUNJU
/in Real Estate/by adminadiliKwa idhini tuliyopewa na NMB BANK PLC tutauza kwa mnada wa hadhara mali/dhamana za wadaiwa kuanzia tarehe tajwa na kuendelea kama ilivyoelezewa.
Jina la Mdaiwa: Beatrice John Mhando, Mdhamini Wa Mhando Enterprises
Dhamana/Mali: Nyumba iliyopo Bunju 'B', Mtaa wa Kihonzile, Kata ya Mwabepande, Wilaya ya Kinondoni-DSM
Date/Time: 20/09/2024 Saa 6:00 Mchana na kuendelea
MASHARTI YA MNADA
1. Mnunuzi anatakiwa kulipia asilimia 25% ya bei itakayofikiwa siku ya mnada na salio la asilimia 75% kulipa ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia siku ya mnada.
2. Mnunuzi akishindwa kulipa salio la asilimia 75% ndani ya siku kumi na nne (14) atakua amepoteza haki zote Pamoja na asilimia 25% na mnada utarudiwa tena.
3. Nyumba zinaweza kukaguliwa kuanzia tarehe ya tangazo hili mpaka siku ya mnada.
4. Mnunuzi atatakiwa kubadili hati ya kumiliki mali aliyonunua na kulipa kodi zote stahiki.
5. Nyumba zitauzwa mahali na kama zilivyo.
Kwa mawasiliano zaidi: 0716 515 445 / 0714 497 736
info@adiliauction.co.tz
DALALI HANA BEI, BEI UNAYO WEWE MTEJA.
TANGAZO LA MNADA WA HADHARA – SHELI-SINGIDA
/in Real Estate/by adminadiliKwa idhini tuliyopewa na NMB BANK PLC tutauza kwa mnada wa hadhara mali/dhamana za wadaiwa kuanzia tarehe tajwa na kuendelea kama ilivyoelezewa.
Jina la Mdaiwa: Marwa Munanka Chacha
Dhamana/Mali: Kituo cha kujazia mafuta, kilichopo Kijiji cha Kibululu Nkonkilangi, Mkoa Wa Singida
Date/Time: 25/09/2024 Saa 4:00 Asubuhi na kuendelea
MASHARTI YA MNADA
1. Mnunuzi anatakiwa kulipia asilimia 25% ya bei itakayofikiwa siku ya mnada na salio la asilimia 75% kulipa ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia siku ya mnada.
2. Mnunuzi akishindwa kulipa salio la asilimia 75% ndani ya siku kumi na nne (14) atakua amepoteza haki zote Pamoja na asilimia 25% na mnada utarudiwa tena.
3. Nyumba zinaweza kukaguliwa kuanzia tarehe ya tangazo hili mpaka siku ya mnada.
4. Mnunuzi atatakiwa kubadili hati ya kumiliki mali aliyonunua na kulipa kodi zote stahiki.
5. Nyumba zitauzwa mahali na kama zilivyo.
Kwa mawasiliano zaidi: 0716 515 445 / 0714 497 736
info@adiliauction.co.tz
DALALI HANA BEI, BEI UNAYO WEWE MTEJA.
TANGAZO LA MNADA – NYUMBA-DUMILA
/in Real Estate/by adminadiliKwa idhini tuliyopewa na NMB BANK PLC tutauza kwa mnada wa hadhara mali/dhamana za wadaiwa kuanzia tarehe tajwa na kuendelea kama ilivyoelezewa.
Jina la Mdaiwa: Richard Stephan Sesala
Dhamana/Mali: Nyumba iliyopo Dumila, Wilaya Ya Kilosa, Mkoa Wa Morogoro
Date/Time: 13/09/2024 Saa 4:00 Asubuhi na kuendelea
MASHARTI YA MNADA
1. Mnunuzi anatakiwa kulipia asilimia 25% ya bei itakayofikiwa siku ya mnada na salio la asilimia 75% kulipa ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia siku ya mnada.
2. Mnunuzi akishindwa kulipa salio la asilimia 75% ndani ya siku kumi na nne (14) atakua amepoteza haki zote Pamoja na asilimia 25% na mnada utarudiwa tena.
3. Nyumba zinaweza kukaguliwa kuanzia tarehe ya tangazo hili mpaka siku ya mnada.
4. Mnunuzi atatakiwa kubadili hati ya kumiliki mali aliyonunua na kulipa kodi zote stahiki.
5. Nyumba zitauzwa mahali na kama zilivyo.
Kwa mawasiliano zaidi: 0716 515 445 / 0714 497 736
info@adiliauction.co.tz
DALALI HANA BEI, BEI UNAYO WEWE MTEJA.
TANGAZO LA MNADA – GODOWN
/in Real Estate/by adminadiliKwa idhini tuliyopewa na NMB BANK PLC tutauza kwa mnada wa hadhara mali/dhamana za wadaiwa kuanzia tarehe tajwa na kuendelea kama ilivyoelezewa.
Jina la Mdaiwa: Chalo Fida Chuna
Dhamana/Mali: Godown iliyopo Turiani Madizini, Mkoa Wa Morogoro
Date/Time: 01/10/2024 Saa 4:00 Asubuhi na kuendelea
MASHARTI YA MNADA
1. Mnunuzi anatakiwa kulipia asilimia 25% ya bei itakayofikiwa siku ya mnada na salio la asilimia 75% kulipa ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia siku ya mnada.
2. Mnunuzi akishindwa kulipa salio la asilimia 75% ndani ya siku kumi na nne (14) atakua amepoteza haki zote Pamoja na asilimia 25% na mnada utarudiwa tena.
3. Nyumba zinaweza kukaguliwa kuanzia tarehe ya tangazo hili mpaka siku ya mnada.
4. Mnunuzi atatakiwa kubadili hati ya kumiliki mali aliyonunua na kulipa kodi zote stahiki.
5. Nyumba zitauzwa mahali na kama zilivyo.
Kwa mawasiliano zaidi: 0716 515 445 / 0714 497 736
info@adiliauction.co.tz
DALALI HANA BEI, BEI UNAYO WEWE MTEJA.
TANGAZO LA MNADA – WAMI CHICHELE
/in Real Estate/by adminadiliKwa idhini tuliyopewa na NMB BANK PLC tutauza kwa mnada wa hadhara mali/dhamana za wadaiwa kuanzia tarehe tajwa na kuendelea kama ilivyoelezewa.
Jina la Mdaiwa: Wami Chinyele, Mdhamini wa Paul Daniel Mracha
Dhamana/Mali: Nyumba iliyopo mtoni Sabasaba Wilaya ya Temeke, Mkoa Wa Dar Es Salaam.
Date/Time: 16/09/2024 Saa 6:00 Mchana na kuendelea
MASHARTI YA MNADA
1. Mnunuzi anatakiwa kulipia asilimia 25% ya bei itakayofikiwa siku ya mnada na salio la asilimia 75% kulipa ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia siku ya mnada.
2. Mnunuzi akishindwa kulipa salio la asilimia 75% ndani ya siku kumi na nne (14) atakua amepoteza haki zote Pamoja na asilimia 25% na mnada utarudiwa tena.
3. Nyumba zinaweza kukaguliwa kuanzia tarehe ya tangazo hili mpaka siku ya mnada.
4. Mnunuzi atatakiwa kubadili hati ya kumiliki mali aliyonunua na kulipa kodi zote stahiki.
5. Nyumba zitauzwa mahali na kama zilivyo.
Kwa mawasiliano zaidi: 0716 515 445 / 0714 497 736
info@adiliauction.co.tz
DALALI HANA BEI, BEI UNAYO WEWE MTEJA.
TANGAZO LA ZABUNI NA. AAM/EQT/DOM/02/2024
/in Real Estate/by adminadiliTANGAZO LA ZABUNI NA. AAM/EQT/DOM/02/2024 YA UUZAJI WA DHAMANA ZA WADAIWA WA EQUITY BANK (TANZANIA) LIMITED
Kwa maelekezo tuliyopewa na mteja wetu Equity Bank (Tanzania) Limited Makao Makuu Ohio Street, Golden Jubilee Tower, Third Floor, S.L.P 110183 Dar Es Salaam, Tunauarifu umma kwamba tutauza kwa zabuni, nyumba za wadaiwa wa benki hiyo kama ilivyoanishwa hapa chini:-
Loti: Loti No. 1
Aina ya Dhamana/Mali: Landed Property
Maelezo ya Dhamana / Mahali Ilipo: Nyumba Makazi iliyopo kiwanja Na. 77, CT Na.24204 - DLR, LO Na. 96253 / 18844, Kitalu 'B' Eneo la Chichadi East, Manispaa ya Dodoma.
Loti: Loti No. 2
Aina ya Dhamana/Mali: Landed Property
Maelezo ya Dhamana / Mahali Ilipo: Mali iliyopo Kiwanja No. 92, Kitalu 'H' CT 12323 - DLR LO Na. 96253/7606, Nkuhungu South, Manispaa ya Dodoma
VIGEZO NA MASHARTI YA ZABUNI
1. Waombaji wanaotaka kununua mali tajwa wanashauriwa kupata taarifa Zaidi za mali hiyo kutoka ofisi ya Adili Auction Mart Limited iliyopo Nyumba Na. 53, Kiwanja Na. 151, Kitalu 45C Kijitonyama, Eneo la Makumbusho, Dar Es Salaam.
2. Ukaguzi na wa dhamana husika utafanywa na wazabuni wenye nia ya kununua kabla ya kuwasilisha zabuni zao kuanzia tarehe ya tangazo hili mpaka siku ya kufungua zabuni.
3. Nyaraka za zabuni zinapaswa kuwa katika bahasha isiyo na rangi na jalada la nje limeandikwa Zabuni Na. AAM/EQT/DOM/02/2024 ya ununuzi wa dhamana za wadaiwa wa Equity Bank (Tanzania) Limited, ikileleza nambari ya loti na kuwasilishwa kwenye ofisi ya Adili auction Mart Limited.
4. Tarehe ya mwisho ya kuwasilisha zabuni itakua alhamisi tarehe 12/09/2024 saa 4 kamili asubuhi na kufunguliwa siku hiyo hiyo mbele ya wazabuni au wawakilishi wote saa nne asubuhi kwenye ofisi ya Adili Auction Mart Limited.
5. Zabuni Zitakazotumwa kwa njia ya telegraph, faksi, barua pepe au kuwasilishwa nje ya muda hazitapokelewa.
6. Equity Bank (Tanzania) Limited ina haki ya kupokea au kukataa zabuni yoyote na haina wajibu wa kueleza sababu za kupokea au kukataa zabuni yoyote.
7. Mshindi wa Zabuni lazima alipe angalau 25% ya bei ya zabuni ndani ya saa 48 baada ya kujulishwa kuwa mshindi wa zabuni, Asilimia 75 iliyobaki lazima ilipwe ndani ya siku kumi na nne (14) tangu siku ya malipo ya awamu ya kwanza.
8. Iwapo mshindi atashindwa kulipa salio la 75% iliyobaki ya kiasi cha zabuni ndani ya muda uliowekwa, kiasi kilichowekwa kitatwaliwa na mali itauzwa tena kwa zabuni mpya baada ya tangazo jipya kutolewa.
9. Mali inauza kwa misingi ya “Kama ilivyo na mahali ilipo”.
KWA MAELEZO ZAIDI, TAFADHALI PIGA SIMU YOYOTE KATI YA ZIFUATAZO
0767 873 988 / 0744 149 080 / 0782 031 111 / 0716 651 103
E-MAIL: info@adiliauction.co.tz
About US
Over a period spanning Twenty-Six (26) years now ADILI AUCTION MART LIMITED has come a long way as a name synonymous with quality and efficiency in providing Auctioning, Brokerage and Debt Collection Services.
OUR VISION
Is to be one of the most professional leaders in Auctioneers, Debt collectors and to become a reputable company in General supplying of high-quality product and its accessories all over the country.
Contact Us
House#53-Kumbukamwe Street
Makumbusho Area-Near Mesuma Hotel
Dar Es Salaam-Tanzania
Tel:+255 22 270 1608
Email: info@adiliauction.co.tz
Business Hours
Our support Hotline is available 24 Hours a day: +255 (0) 22 270 1608
Monday-Friday: 8:30AM to 5:30PM
Saturday: 9AM to 2PM
Sunday: Closed