NYUMBA YA GHOROFA MOJA INAUZWA KWA MNADA

Mahali: MBEZI BEACH, KARIBU NA SHULE YA SEKONDARI YA CROWN, MTAA WA FLAMINGO.

Umiliki: PLOT NO. 270, BLOCK "G"

Ukubwa wa eneo lote: 456 SQM

Matumizi: OFISI NA KUISHI

SIFA:
1. INA HATI MILIKI
2. NI NYUMBA YA KISASA KABISA
3. MTAA UMETULIA

DALALI HANA BEI, BEI UNAYO WEWE MTEJA.
Mawasiliano: 0764 461 606