TANGAZO LA MNADA WA HADHARA – MBEZI LUIS

Kwa idhini tuliyopewa na EQUITY BANK TANZANIA LIMITED tutauza kwa mnada wa hadhara mali/dhamana za wadaiwa kuanzia tarehe tajwa na kuendelea kama ilivyoelezewa.

Jina la Mdaiwa: Judith Alexander Kitally
Dhamana/Mali: Kiwanja No. P11573 DSM 1006955, Mbezi Luis- Ubungo, Dar Es Salaam, Tanzania
Date/Time: 13/09/2024 Saa 7:00 Mchana na kuendelea

MASHARTI YA MNADA
1. Mnunuzi anatakiwa kulipia asilimia 25% ya bei itakayofikiwa siku ya mnada na salio la asilimia 75% kulipa ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia siku ya mnada.

2. Mnunuzi akishindwa kulipa salio la asilimia 75% ndani ya siku kumi na nne (14) atakua amepoteza haki zote Pamoja na asilimia 25% na mnada utarudiwa tena.

3. Nyumba zinaweza kukaguliwa kuanzia tarehe ya tangazo hili mpaka siku ya mnada.

4. Mnunuzi atatakiwa kubadili hati ya kumiliki mali aliyonunua na kulipa kodi zote stahiki.

5. Nyumba zitauzwa mahali na kama zilivyo.

Kwa mawasiliano zaidi: 0716 515 445 / 0714 497 736
info@adiliauction.co.tz

DALALI HANA BEI, BEI UNAYO WEWE MTEJA.