TANGAZO LA MNADA WA HADHARA – COMMERCIAL PROPERTY

Kwa idhini tuliyopewa na NMB BANK PLC tutauza kwa mnada wa hadhara mali/dhamana za wadaiwa kuanzia tarehe tajwa na kuendelea kama ilivyoelezewa.

Jina la Mdaiwa: Barnabas Ignas Kimambo
Dhamana/Mali: Legal Mortgage over commercial property located land parcel No. KND/NZS/MDZ7/29 madizini Street, Manzese area , Kinondoni-DSM , with R. L No. KNDO24307 with tenor of 5 years from 24th April 2015 INO Barnabas Ignas Kimambo
Date/Time: 27/09/2024 Saa 4:00 Asubuhi na kuendelea

MASHARTI YA MNADA
1. Mnunuzi anatakiwa kulipia asilimia 25% ya bei itakayofikiwa siku ya mnada na salio la asilimia 75% kulipa ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia siku ya mnada.

2. Mnunuzi akishindwa kulipa salio la asilimia 75% ndani ya siku kumi na nne (14) atakua amepoteza haki zote Pamoja na asilimia 25% na mnada utarudiwa tena.

3. Nyumba zinaweza kukaguliwa kuanzia tarehe ya tangazo hili mpaka siku ya mnada.

4. Mnunuzi atatakiwa kubadili hati ya kumiliki mali aliyonunua na kulipa kodi zote stahiki.

5. Nyumba zitauzwa mahali na kama zilivyo.

Kwa mawasiliano zaidi: 0716 515 445 / 0714 497 736
info@adiliauction.co.tz

DALALI HANA BEI, BEI UNAYO WEWE MTEJA.