TANGAZO LA MNADA WA HADHARA – SHELI-SINGIDA

Kwa idhini tuliyopewa na NMB BANK PLC tutauza kwa mnada wa hadhara mali/dhamana za wadaiwa kuanzia tarehe tajwa na kuendelea kama ilivyoelezewa.

Jina la Mdaiwa: Marwa Munanka Chacha
Dhamana/Mali: Kituo cha kujazia mafuta, kilichopo Kijiji cha Kibululu Nkonkilangi, Mkoa Wa Singida
Date/Time: 25/09/2024 Saa 4:00 Asubuhi na kuendelea

MASHARTI YA MNADA
1. Mnunuzi anatakiwa kulipia asilimia 25% ya bei itakayofikiwa siku ya mnada na salio la asilimia 75% kulipa ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia siku ya mnada.

2. Mnunuzi akishindwa kulipa salio la asilimia 75% ndani ya siku kumi na nne (14) atakua amepoteza haki zote Pamoja na asilimia 25% na mnada utarudiwa tena.

3. Nyumba zinaweza kukaguliwa kuanzia tarehe ya tangazo hili mpaka siku ya mnada.

4. Mnunuzi atatakiwa kubadili hati ya kumiliki mali aliyonunua na kulipa kodi zote stahiki.

5. Nyumba zitauzwa mahali na kama zilivyo.

Kwa mawasiliano zaidi: 0716 515 445 / 0714 497 736
info@adiliauction.co.tz

DALALI HANA BEI, BEI UNAYO WEWE MTEJA.